Kwanza kabisa, nini maana ya blogu na kwa nini nianzishe yangu mwenyewe?
Blogu ni tovuti binafsi unapoandika mawazo yako, uzoefu, au elimu kuhusu mambo mbalimbali na kuyashiriki na watu wengine mtandaoni. Unaweza kuiita kama vile diary yako ya kidigitali au jarida lako la kibinafsi.